Mkopo wa Chap Chap
Mkopo huu unatolewa kwa Kiwango cha shilingi milioni mbili (500,000/-)
- Riba kwa mkopo wa maendeleo ni asilimia 11% (Reducing Method)
- Muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi kumi na mbili (5)
- Mwanachama hataruhusiwa kupata mkopo mwingine wa dharura endapo hatakuwa amekamilisha
marejesho ya mkopo wa dhararu uliotangulia