Tupo kwa zaidi ya miaka 23 tangu kuanzisha kwetu.
IAA SACCOS ni ushirika wa akiba na mikopo unaoundwa na watumishi wa Chuo cha Uhasibu Arusha toka Wizara ya Fedha Mipango, uliosajiliwa tarehe 30 Novemba 2002 kama Asasi ya huduma za kifedha chini ya Sheria ya Vyama vya Ushirika namba 20 ya mwaka 2003.
Mwenyekiti
Hadi 500,000/= TZS
Hadi 2,000,000/= TZS.
wa ajili ya elimu
Hadi 70,000,000/= TZS