Mkopo huu unatolewa kwa kiwango cha shilingi milioni mbili (2,000,000/-). Aina hii ya mkopo inatolewa kwa mwanachama hai wakati wowote itokeapo dharura. Kama jina la mkopo huu linavyojieleza, aina hii ya mkopo itatolewa kwa mwanachama aliyepatwa na dharura (emergency) tu kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya mwanachama.