Kuwa saccos ya mfano inayotoa huduma bora za ukusanyaji wa akiba na utoaji wa mikopo nafuu.
IAA SACCOS LTD ilisajiliwa tarehe 27 Mei 2003 ikiwa na wanachama 36 na hisa zenye thamani ya Tshs. 1,800,000/= (Milioni moja na laki nane tu). Thamani ya Hisa imekuwa ikiongezeka Mwaka hadi Mwaka ambapo 2025 kiasi cha hisa ni shilingi 500,000/- kwa kila mwanachama. Ongezeko la thamani za Hisa limechangiwa na kuongezeka kwa wanachama wa IAA SACCOS LTD.
Dira Yetu
Kuwa saccos ya mfano inayotoa huduma bora za ukusanyaji wa akiba na utoaji wa mikopo nafuu.
Dhima Yetu
Kuboresha hali za uchumi na kijamii za wanachama kupitia mikopo nafuu.
Maadili Yetu